Hosea 12:6


6 aLakini ni lazima urudi kwa Mungu wako;
dumisha upendo na haki,
nawe umngojee Mungu wako siku zote.

Copyright information for SwhKC